SABA SABA 2017

blog4

PROACTIVE SOLAR PUMPS LIMTED

Ndani ya Sabasaba 2017 inawaletea punguzo kubwa la bei, fursa na zawadi nyingi ikiwemo ya ajira katika kampuni yetu katika maonyesho haya ya 41 ya kimataifa sabasaba. Usiache kututembelea banda la Ali Hassan Mwinyi, Chumba namba 1 kati ya tarehe 28 Juni na 08 Julai kabla ya fursa hizi kuisha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *